KUNA mechi mbili za kibingwa zinachezwa leo ndani ya Ligi Kuu Bara zikihusisha timu zinazoshika nafasi nne za juu kwenye msimamo, huku moja ikiwa inapambana isishuke daraja.
Dar es salaam, Tanzania – Sakata la Simba kuzuiwa kufanya mazoezi yake ya mwisho na mabaunsa na maafisa wanaoaminika kuwa wa Yanga katika uwanja wa Mkapa siku ya Ijumaa usiku, lilipelekea debi hiyo ...
Uwanja wa Benjamin Mkapa leo unafungua milango kwa pambano la mwisho la ligi kuu Tanzania Bara msimu wa 2024/25 (Kariakoo Dabi) ya mzunguko wa pili kati ya Simba na Yanga. Ni mchezo wa namba 184, ...
UONGOZI wa Azam FC unaendelea na mchakato wa kuboresha kikosi hicho kwa ajili ya msimu ujao, ambapo kwa sasa inafuatilia ...
Mashabiki wa Simba wameanza kujinasibu kuwa safari hii ni ya kufuta uteja, wakikumbushia maumivu ya kupoteza michezo sita mfululizo dhidi ya watani wao wa jadi na mashabiki wa Yanga nao wanaonekana ...
Mabingwa watetezi Yanga wameendelea kung'ang'ania kileleni mwa Ligi Kuu Tanzania Bara kufuatia ushindi wa mabao 3-0 kwa Nunge dhidi ya wenyeji, Singida Fountain Gate. "Wana nafasi kubwa ya kutetea ...
Samatta anaongeza idadi ya wachezaji Simba iliotoa wakaenda cheza nje ya nchi, na ni sekta ambayo wamewapiku watani wao wa jadi Yanga Kwa muda mrefu soka la Tanzania limekuwa likitawaliwa na timu ...
Baada ya dirisha dogo la usajili kufunguliwa kwa ajili ya vilabu kufanya usajili ili kuimarisha vikosi vyao, kuuza au kuachana na wachezaji mbalimb... Vilabu kadhaa vya ligi kuu tanzania bara pamoja ...